Matthew 16:12

12 aNdipo wakaelewa kwamba alikuwa hasemi juu ya chachu ya kutengeneza mikate, bali juu ya mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.

Petro Amkiri Isa Kuwa Ni Mwana Wa Mungu

(Marko 8:27-30; Luka 9:18-21)

Copyright information for SwhKC